Application and Eligibility

ELIGIBILITY CRITERIA

The Fund covers projects and investments based in ZEEA which adhere to the following criteria:

INUKA FUND

INUKA MTU BINAFSI

Mazingatio:
Tafadhali wakati wa kurejesha Fomu hii ambatanisha na vitu vifuatavyo:-
a) Nakala ya Leseni ya Biashara iliyo hai
b) Mpango wa Biashara
c) Nakala ya Kitambulisho cha Mzanzibari
d) Picha mbili (2) za Paspoti Size
e) Barua ya Maombi ya Mkopo kwa Benki ya CRDB
f) Nyaraka ya Hati ya Mali uliyowekewa dhamana ya Mkopo
g) Hati ya kusajiliwa (BPRA)
h) Vibali vya kisheria vya kuendesha biashara/mradi husika kutoka mamlaka husika ikiwa
itahitajika. (Mfano: Mamlaka ya chakula na dawa, Mamlaka ya mazingira n.k kwa miradi
inayosimamiwa kimamlaka)
i) Hati/Cheti cha kuandikishwa kodi ZRB/TRA yaani ZRB Tax Registration/TIN (kwa
wanaomiliki leseni na TAX CLEARANCE).
j) Partnership Deed/Company Memarts & Annual Returns (Ikiwa itahitajika).
k) Hesabu za fedha za miaka miwili nyuma kufikia tarehe ya leo (Ikiwa itahitajika).
l) Mukhtasari wa kikao kilichoidhinisha maombi ya mkopo husika(ikiwa itahiotajika)
m) Kitambulisho cha ujasiriamali (kwa biashara ndogo zisizo na leseni) (ikiwa itahitajika).
n) Kotesheni ya bei (profoma invoice) toka kwa muuzaji wa vifaa vinavyohitajika (kwa vifaa
vyote)
o) Mikataba ya Utoaji wa Huduma (Ikiwa itahitajika).
p) Orodha ya madeni (wanayodai na wanayodaiwa) yanayohusiana na mradi/biashara
q) Warka wa DHAMANA YA MKOPO
r) Ripoti ya Tathmini ya thamani ya dhamana. (Kwa Wafanyabiashara/Wawekezaji wa
ndani/local investers tu)
s) Statement ya benki.
t) Hati ya ndoa ama ya talaka au Hati ya Kiapo ya kuwa Hujaoa/Hujaolewa.
u) Mahitaji yote ya maombi ya mkopo kwa mujibu wa CRDB BANK (KWA
MAKAMPUNI/WAWEKEZAJI)
v) Barua ya maombi ya mkopo ipelekwe CRDB Bank PLC ikiambatanishwa na nyaraka zote
hapo juu.

INUKA VIKUNDI

1. Nakala ya Hati ya Usajili wa Kikundi.
2. Nakala ya Muhtasari wa kikao uliosainiwa na wanakikundi kuomba mkopo.
3. Mpango wa Biashara/Taarifa za Biashara.
4. Nakala ya Katiba ya kikundi/sheria ndogo.
5. Nakala ya vitambulisho vya Katibu na Mwenyekiti
6. Picha ya Pasipoti ya Katibu na Mwenyekiti
7. Barua ya kikundi ya maombi ya mkopo kwa Benki ya CRDB

A group applying for a loan and receiving an application form is required to attach the following documents upon submission of the form:

i. A copy of the group registration certificate
ii. The group’s bylaws along with board resolutions concerning the loan application
iii. Three recent passport-sized photos of the Chairperson, Secretary, and Treasurer
iv. Copies of ZANID cards for all applicants
v. Loan application letter to the ZEEA
vi. Introduction letter for the group from SHEHA
vii. Business plan for the relevant business
viii. Bank statements if the group has a bank account for savings (for large loans)
ix. Taxpayer certificate from ZRA/TRA (for large loans)

CHECKLIST OF DOCUMENTS FOR ABUDHABI FUND ITEM SUBMITTED

1. Application Letter.
2. Certified copy of the Resolution authorizing borrowing from ZEEA.
3. Certified copy of Zanzibar Identification Card (Zanzibar ID)
4. Recent two (2) passport size photos
5. Certified copy of Memorandum and Articles of Association.
6. Certified copy of the Certificate of Registration / Incorporation, Business Licenses, TIN
Certificates, VRN Certificate
7. Copies of ZFDA, INDUSTRIAL LICENSES, BUILDING PERMITS, etc (whichever is
applicable)
8. Copy of the latest annual return filed with Registrar of Companies
a) In case of Sole Proprietorship / Partnership certified copy of the Extract of the Register from
Registrar of Business.
b) In case of Partnership, certified copy of the Partnership Deed / Agreement.
9. Audited accounts for the last three years together with copy of the latest management accounts.
10. Schedule of Debtors and Creditors as per the latest management accounts – age wise.
11. Financial projections and Business Plan i.e. cash flow month by month for the next 12 months.
12. Title Deed of the Security and copy of the document evidencing ownership of the asset
offered.
13. Valuation report(s), if available of the offered security.
14. Copies of bank account statements for the last 12 months.
15. CVs of the Directors in case of Companies
16. Company profile.