Zanzibar Economic Empowerment Agency

Slide 1
ZEEA NA HESLB ZAJADILIANA KUWASAIDIA WANAFUNZI
Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Juma Burhan pamoja na maafisa wengine wa ZEEA wakiwa katika kikao cha pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Dk. Bill Kiwia wa Bodi ya Mfuko wa Elimu ya Mfuko wa Juu Tanzania kujadili namna ya kushirikiana katika kuwawezesha kiuchumi wanufaika wa mikopo ya Elimu ya Juu ili kuwatayarisha kuingia soko la ajira au kujiajiri na kuweza kurejesha mikopo hiyo.
mh_sharif na zeea
MHE. SHARIFF AKUTANA NA WATENDAJI WA ZEEA
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali Shariff amekutana na kuzungumza na watendaji wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) ili kufahamu kazi na utekelezaji wa shughuli za taasisi hiyo za kuwawezesha wananchi kiuchumi.
muo_heslb
ZEEA NA HESLB RASMI KUWAWEZESHA WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO
Mkurugenzi Mtendaji wa ZEEA Ndugu Juma Burhan Mohamed (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Dkt. Bill Kiwia wakionesha moja ya hati za makubalinano walioingia taasisi hizo mbili yenye lengo la kuwejengea uwezo na kuwapatia fursa wanafunzi walionufaika na mikopo ili waweze kujiajiri au kuajiriwa na hatimae kurejesha mikopo hiyo.
feedthefuture
MRADI WA " IMARISHA SEKTA BINAFSI" KUNUFAISHA VIJANA
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mheshimiwa Shariff Ali Shariff pamoja na Mkurugenzi Mkaazi wa USAID Bw. Graig Hart wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Taasisi zote mbili pamoja na Wadau mbalimbali waliohudhuria katika Hafla ya kukabidhi fedha kwa wanufaika wa Mradi wa "Feed the future - Strengthening Private Sectors" wenye lengo la kuimarisha upatikanaji wa fursa mbali mbali kwa vijana iliyofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip iliyoko Uwanja wa Ndege, Zanzibar.
mamalishe
MAMA MWINYI MGENI RASMI HAFLA YA UGAWAJI VIFAA KWA WAJASIRIMALI WANAWAKE
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wajasiriamali wanawake walionufaika na Mafunzo na Vifaa viilivyotolewa na Kampuni ya Cocacola Tanzania wakishirikiana na Kampuni ya Gesi ya Oryx na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar. Zaidi ya Mamalishe 1330 wa mikoa mitatu ya Unguja waliweza kunufaika na mradi huo.
mamalishe
ZIARA YA KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI KUHUSU UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA KIZAZI CHENYE USAWA
Kamati ya Kitaifa ya Utekelezaji wa Programu ya kizazi chenye usawa ikiongozwa na Naibu Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Mgeni Hassan Juma (wa nne kushuto)na wajumbe wengine akiwemo Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bi Sauda Kassim Msemo(wa tano kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya ZEEA walipotembelea Taasisi hiyo kupata taarifa zinazohusiana na maswala ya Uwezeshaji yanayonufaisha jamii.
next arrow
previous arrow

Welcome ZEEA

The Zanzibar  Economic Empowerment Agency has been established by Law number 2 of 2022. The purpose of establishing the Citizen Economic Empowerment Agency is to strengthen the enabling environment for the Economic Empowerment of Citizens in order to increase productivity, production, efficiency and marketing of the products of entrepreneurs and businessmen in the country.

News and Events

USAID SUPPORT “IMARISHA SEKTA BINAFI PROJECT”

March 29, 2024

The Minister of State – President’s Office, Labour, Economy, and Investment, Hon. Sharif Ali Sharif, witnessed the handingover of the […]

HESLB and ZEEA Sign Agreement to Empower Loan Beneficiaries in Self-Employment

March 18, 2024

The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) and the Zanzibar Economic Empowerment Agency (ZEEA) have…

ZANZIBAR WOMEN EMPOWERMENT CONFERENCE

March 12, 2024

The Second Vice President of Zanzibar Hon. Hemed Suleiman Abdallah attending the empowerment conference for…

 Entrepreneurship Development

February 26, 2024

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nulla convallis egestas rhoncus. Donec facilisis fermentum…

Upcoming Events

FEED THE FUTURE -Grant Award Ceremony

Golden Tulip

27th March 2024

UPDATES FROM OUR NEWS CENTER

Scroll to Top